Jinsi ya kuondoa dark spots usoni


 JINSI YA KUONDOA MADOA MEUSI USONI (DARK SPOTS)


💡 1. Mask ya Asali na Mdalasini


Changanya kijiko 1 cha asali na 1/2 kijiko cha mdalasini


Pakaa sehemu zenye doa, kaa dakika 10, osha


Tumia mara 3 kwa wiki



🍋 2. Maji ya Limao + Rosewater


Matone 5 ya limao + kijiko 1 cha rosewater


Pakaa usiku kwa pamba, kaa dakika 5–10, osha


Tumia mara 2 kwa wiki (epuka jua)



🌱 3. Aloe Vera Fresh


Pakaa gel ya aloe vera usiku kabla ya kulala kila siku



✨ 4. Serum ya Asili


Mafuta ya rosehip + mafuta ya almond + Vit E capsule


Tumia usiku, pakaa kabla ya kulala



📅 RATIBA FUPI YA MATUMIZI:


Siku Asubuhi Usiku


Mon Cleanser + Sunscreen Aloe Vera

Tue Rosewater Mask ya Asali

Wed Cleanser Serum ya Rosehip

Thu Rosewater Mask ya Limao

Fri Cleanser + Sunscreen Aloe Vera

Sat Scrub laini Serum ya Rosehip

Sun Face Steam Mask ya Upole




Imeandaliwa na: Glow by Aggie ✨ Asili. Urembo. Matokeo.



Comments