JINSI YA KUTENGENEZA BEETROOT POWDER NYUMBANI
๐ฅฌ✨ Jinsi ya Kutengeneza Beetroot Powder Nyumbani Beetroot ni mboga yenye rangi nyekundu ang’avu na virutubisho vingi vinavyosaidia afya ya mwili na ngozi. Kutengeneza Beetroot Powder nyumbani ni njia rahisi ya kuhakikisha unapata unga safi, usio na kemikali na wenye manufaa mengi kiafya. Vifaa na Malighafi Beetroot fresh (2–4) Kisu na mbao ya kukatia Sinia au tray safi Jua kali au oven Blender/grinder Chujio safi Chupa yenye kifuniko kizuri Hatua za Kutengeneza Beetroot Powder 1️⃣ Osha na kata beetroot zako vipande vidogo (slice nyembamba). 2️⃣ Kausha juani kwa siku 2–3 au oveni kwa joto la 50–60°C kwa masaa 6–8. 3️⃣ Saga vipande vilivyokauka kwenye blender/grinder hadi upate unga laini. 4️⃣ Chuja ili kupata unga mwororo zaidi. 5️⃣ Hifadhi kwenye chupa safi yenye kifuniko, sehemu kavu na salama. Faida za Beetroot Powder ๐ธ ✅ Huongeza damu na nguvu mwilini (ina folate & iron) ✅ Hupunguza presha ya damu (ina nitrates) ✅ Huimarisha stamina na uwezo wa kufanya mazoezi ✅ Hufanya ngozi ...