DIY body scrub
*Scrub ya Mwili ya Sukari na Kahawa*
*Viungo:*
- Kahawa na sukari isiyosindikwa – vijiko 2 vya chakula
- Mafuta ya nazi – kijiko 1 cha chakula
- Mafuta ya mizeituni – kijiko 1 cha chakula
- Chumvi ya baharini – kiasi kidogo
*Jinsi ya Kutengeneza:*
Changanya kahawa, sukari isiyosindikwa na chumvi ya baharini.
Kisha ongeza mafuta ya nazi na mafuta ya mizeituni.
*Furahia scrub yako!*

Comments
Post a Comment