Mask ya asali na manjano
πΌ Mask ya Asali na Manjano – Siri ya Ngozi Yenye Mng’ao wa Asili πΌ
π Viambato vya Asili, Matokeo ya Kudumu π
Asali Safi – Hulainisha na kulisha ngozi, hukinga dhidi ya bakteria na chunusi.
Manjano ya Unga – Hufifisha mabaka, hupunguza mafuta kupita kiasi na kung’arisha ngozi.
✨ Faida Unazopata:
✅ Hupunguza dark spots na makovu madogo
✅ Hupunguza chunusi na wekundu wa ngozi
✅ Hufanya ngozi ing’ae na kuwa laini
✅ Hupunguza uvimbe na muwasho
π§‘ Namna ya Kutumia:
Changanya 1/2 kijiko cha manjano + vijiko 1-2 vya asali, pakaa usoni kwa dakika 10, kisha suuza kwa maji safi.
Tumia
mara 2-3 kwa wiki kwa matokeo bora.
πΏ Kwa ngozi yenye afya na mng’ao wa asili – Tumia Mask ya Asali na Manjano! πΏ

Comments
Post a Comment